Become a member artist

11008564_1155402744475884_4528127587927938244_n
photo by Nicholas Calvin

Application for Studio Membership at Nafasi Art Space (2017)

MWALIKO WA KUTUMA MAOMBI YA UANACHAMA NAFASI ART SPACE

PLEASE NOTE THAT WE DO NOT CURRENTLY HAVE ANY OPEN STUDIO SPACES. WE ARE CURRENTLY ONLY ACCEPTING APPLICATIONS FOR GENERAL MEMBERSHIP.

Nafasi Art Space is Non-profit Contemporary Art Centre in Tanzania that provides a platform for artists through development, production and entrepreneurship in the Visual and Performing Arts by providing training, exchange and exhibition of experimental arts locally, regionally and beyond.

Nafasi Art Space ni shirika lisilo la kiserikali, linaloendesha shughuli za sanaa zisizo za kifaida nchini Tanzania kwa malengo ya kutoa fursa kwa wasanii kuzalisha na kuendeleza sanaa za kisasa, na ujasiriamali katika sanaa za maonyesho kwa njia ya kutoa mafunzo, kubadilishana utalaamu wa ubunifu na maonyesho ya sanaa za majaribio ndani ya nchi, kanda na kimataifa.

What can we offer?

The Membership at Nafasi offers access to work/rehearsal space (studio and outdoor space), use of Nafasi facilities (library/resource room, exhibition hall), opportunities to take part in Nafasi organized events (trainings, workshops), and the opportunity to participate in art exchange programs within East Africa and beyond. General embers are required to pay monthly membership dues of 25,000tsh per month.

Faida za Uwanachama

Mwanachama wa Nafasi Art Space atapata fursa ya kutumia miundombinu ikiwemo maktaba ya vitabu, kompyuta na chumba cha maonesho, fursa ya kushiriki kwenye mafunzo na warsha mbalimbali za sanaa, kupata nafasi (studio) ya kuendesha shughuli za sanaa (ndani na nje) na pia kupata fursa ya kushiriki kwenye mabadilishano ya sanaa (Artist in Residence Program) ndani ya Afrika mashariki na kimataifa. Wanachama wanatakiwa kulipa kodi ya 25,000tsh kila mwezi.

Who can apply?

Artists at any point in their career, and working in any medium (visual and performing arts) are welcome to submit an application. Female artists have an added advantage. 

Nani anaweza Kutuma Maombi?

Msanii yeyote anayejishughulisha na kazi za sanaa anaweza kutuma maombi ya uanachama wa Nafasi Art Space. Wasanii wa kike watapewa kipaumbele.

How to apply?

You can apply by filling in this form: Nafasi Membership Application (preferably by computer).  

You can also receive a hard copy application at our offices on Eyasi Road in Mikocheni B. We accept applications for general membership on a rolling basis.

We accept both hard and soft copy applications. To submit an online application form, email your application materials to membership@nafasiartspace.org.

Jinsi ya Kutuma maombi

Tafadhali jaza fomu ya maombi ya uanachama ukifuata maelezo muhimu kwa makini hapo chini. Fomu hii Nafasi Membership Application irudishe kwa mkono (hard copy) ofisi za  kwa wasanii wanaotoka Dar es Salaam au kwa njia ya barua pepe kwa wasanii wanaotoka nje ya Dar es Salaam.

For more information, please email membership@nafasiartspace.org.