home Uncategorized CALL FOR SUBMISSION: Art and Democracy change of deadline

CALL FOR SUBMISSION: Art and Democracy change of deadline

unnamed(2)

We would like to inform you that we have extended the deadline for submissions for the upcoming “Art and Democracy” competition, of which we are partnering with @Twaweza. The winner of the competiton will win an ARTIST RESIDENCY at Nafasi (non-members get a residency while members get one month off on rent) as well as a LAPTOP. 2nd and 3rd place winners win LAPTOP.

Tunafurahi kuwataarifu kuwa tumeongeza muda wa kutuma sanaa kwenye shindano letu na Twaweza la “Demokrasia na Sanaa”. Mshindi wa kwanza atajishindia Nafasi ARTIST RESIDENCY (kwa wasio wanachama, wanachama hawatalipa kodi kwa mwezi mmoja) pamoja na LAPTOP. washindi wa pili na wa tatu watajishindia LAPTOP