Artist Search - Wikiendi live - NAS

ARTIST SEARCH

Nafasi is looking for artists for the Wikiendi Live program

Nafasi’s WIKIENDI Live! Program is back for 2018 and is on the hunt for artists that excite, inspire, and revive enthusiasm for the rich musical heritage of Tanzania.
Sounds like you or someone you know? Fill out the application form via the link below to be considered for this year’s line up!

DEADLINE: FEB 15TH 2018
APPLICATION FORM

Problems applying? Email us at: wikiendilive @ gmail.com (remove spaces before sending)
____

Programu ya Nafasi ya WIKIENDI Live! imerudi kwa ajili ya mwaka mpya na inatafuta wasanii wanao furahisha na kuhamasisha watu kuhusu tamaduni zetu nzuri za muziki wa kitanzania.
Kama wewe ni msanii au unafahamu mtu mwenye muelekeo huu, basi Jaza fomu ya maombi ya kufanya shoo mwaka huu kupitia Link ya hapo chini!
SIKU YA MWISHO: 15 FEB 2018
FOMU YA MAOMBI
Unashindwa kujaza fomu? Tuma barua pepe kwenda wikiendilive @ gmail.com