Nafasi Art Space is thrilled to announce the extension of the application deadline for its renowned Artists in Residency program until November 14, 2023.
This prestigious residency offers artists from diverse backgrounds the opportunity to immerse themselves in a creative haven in Tanzania’s vibrant art scene. The selected participants will have the chance to engage with a rich community of artists, explore new dimensions of their craft, and present their work to a broad and appreciative audience at Nafasi Art Space.
To apply, please visit the link provided on Nafasi Art Space’s official social media pages: 🔗 https://linktr.ee/nafasiartspace.
Artists are encouraged to submit their applications before the new deadline on November 14, 2023.
For comprehensive details or inquiries, please reach out to
visualarts@nafasiartspace.org or contact us at 📲+255 757 820 426.
Tunayofuraha kutangaza kuwa muda kutuma maombi kushiriki patika program ya “Artists In Residency” 2024 Nafasi Art Space, Tanzania, dirisha la usaili limeongezwa hadi Novemba 14, 2023.
Program hii inatoa fursa ya kipekee kwa wasanii duniani kote kufanya kazi katika mazingira tajiri na yenye uhai wa kisanii. Wasanii watakaopatikana watapata fursa ya kufanya kazi pamoja na kuunganisha na wasanii wenzao, huku wakionyesha kazi zao kwa hadhira pana na yenye ushirikiano kwenye Nafasi Art Space.
Programu ya residency inajumuisha nafasi ya studio iliyowekwa vizuri, inayowapa wasanii uhuru wa kutengeneza, kujaribu, na kukuza mazoezi yao ya kisanii. Zaidi ya studio, washiriki watashiriki katika mazungumzo, warsha, na matukio yaliyoundwa kukuza kubadilishana kitamaduni na ukuaji wa kisanii.
Tunawahimiza na kuwakaribisha wasanii Watanzania kutoka mikoa mbalimbali na tunawaita waundaji kutoka jamii zenye uhitaji kuomba, kukuza mazungumzo ya kisanii yanayojumuisha na yenye tofauti.
Kwa kutuma maombi yako tafadhali tembelea kiungo kilichotolewa kurasa za mitandao ya kijamii (@nafasiartspace): 🔗 https://linktr.ee/nafasiartspace.
Kwa maswali, tafadhali wasiliana na visualarts@nafasiartspace.org au piga simu 📲 +255 757 820 426.
Muda huu umeongezwa hadi Novemba 14, 2023, Kusaidia wasanii wengi zaidi kufaidika na fursa hii ya kipekee.