In some cultures, a corpse cannot leave the house through the main door in fear that the spirit of the deceased will know how to get back into the house and haunt it. In other cultures, it is a curse seeing your own face in your dreams and is a sure symbol of a near death.
We challenge artists to delve into the various rituals and taboos surrounding the living and the dead in our pan-african cultures.
What messages and symbols still linger from our ancestors and what traditions are as buried as those who used to practice them?
OPEN TO ALL ARTISTS BASED IN TANZANIA
——-
WITO KWA WASANII
Katika baadhi ya tamaduni za Kiafrika, maiti haiwezi kutoka nyumbani kupitia mlango wa mbele kwa hofu kwamba roho ya marehemu itajua jinsi ya kurudi nyumbani na kubakia. Katika tamaduni nyingine, kuona uso wako mwenyewe ndotoni ni ishara ya mauti.
Hiyvo, tunawahimiza wasanii kutafakari katika mila mbalimbali na baadhi ya miiko kuhusu maisha na mwisho wake, katika tamaduni za baraani Afrika.
Ni ujumbe na alama gani za wahenga ziliohai na kuna mila gani ziliyozikwa na wale waliokuwa wanazifuata?
WAZI KWA WASANII WOTE NCHINI