CALL FOR DIGITAL ART LAB RESIDENCY 2022

Nafasi Art Space is in the process of establishing a digital art studio to create inclusive access to tools, resources, and networks in the realm of digital arts, from digital illustration to experimental A/R and V/R and other new media practices. We are excited to host two Artists in Residence from the East Africa region with a background in digital art who are interested to share and exchange with Tanzanian artists and play a role in the activation of our new space.

The selected AIRs will have the chance to work on their own projects as well as facilitate sessions on digital art with students of the Nafasi Academy.

Please submit your completed application via Google Form via https://linktr.ee/nafasiartspace  Deadline is 24.09.2022 

If you have any trouble submitting via the link, you can also email your application to: info@nafasiartspace.org.

If you would prefer to submit a hard copy, please bring the completed form along with all supporting materials to Nafasi Art Space in Mikocheni B (Eyasi Road, behind ITV next to Hekima Garden).

We are also happy to accept your application in video, audio or other creative format. If you would like to apply in this way, please email us the links or bring them to the office on a flash disk. If you do take this route, please be sure you still answer all of the questions in full, in whatever method you choose.

If you have any questions or need assistance, please contact:
info@nafasiartspace.org
Or call +255 757 820 426, Monday – Friday, 10am – 2pm

We will also have sessions where a member of the Nafasi team can meet you in person and assist with filling out the application form. To schedule a meeting, please use the contact information above.

Nafasi Art Space iko katika mchakato wa kuanzisha studio kwa ajili ya sanaa za kidijitali (digital art) ili kuunda fursa ya mjumuiko kufikia zana, rasilimali, na mitandao katika nyanja ya sanaa ya kidijitali, kutoka kwa michoro ya kidijitali hadi sanaa za majaribio ya A/R na V/R na nyanja nyingine mpya za sanaa za namna hii. Tunayo furaha kuwakaribisha wasanii wawili kutoka ukanda wa Afrika Mashariki wenye historia ya sanaa ya kidijitali ambao wanapenda kushiriki pamoja na wasanii wa Tanzania na kuchukua nafasi katika uanzishaji wa sehemu yetu mpya. AIRs watakaochaguliwa watakua na nafasi ya kufanya kazi kwenye miradi yao wenyewe na pia kutoa elimu ya sanaa ya kidijitali pamoja na wanafunzi wa Nafasi Academy.

Tafadhali wasilisha fomu iliyojazwa kwa ukamilifu kwa njia ya Fomu ya Google kwa kutembelea tovuti: https://linktr.ee/nafasiartspace  Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 24.09.2022 

Kama utapata shida kuwasilisha kwa njia ya viunganishi, unaweza kutuma maombi yako kwa: info@nafasiartspace,org
Tuna furaha ya kupata majibu yako kwa maandishi kwa maswali yafuatayo, au kama ungependelea kuyawakilisha kwa njia ya video, sauti, ama mfumo wowote bunifu,basi unaweza kutuma viunganishi. Na iwapo utatumia njia hii, basi tafadhali hakikisha kuwa unajibu maswali kwa ukamilifu katia njia yoyote utakayoichagua.

Kama ungependa kutuma kwa nakala za kawaida, basi tuletee fomu zilizojazwa kwa ukamilifu, ukiambatanisha na vielezo vingine ofisini Nafasi Art Space, Mikocheni B (Barabara ya Eyasi, nyuma ya ITV, jirani na Hekima Garden.)

Iwapo unapata shida kujaza fumu au unahitaji msaada , tafadhali wasilina nasi:
info@nafasiartspace.org
Au piga simu +255 757 820 426, Jumatatu hadi Ijumaa, Kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 Mchana.

Vilevile tutakuwa na kipengele ambacho muhusika wa timu ya Nafasi atakutana nawe ana kwa ana na kukusaidia kujaza fomu ya maombi. Ili kupanga muda wa mkutano huu basi wasiliana nasi kwa anuani ya hapo juu.