ChapChap Photomontage: Public Art Workshop
Photomontage is an alternative way of image making by cutting, gluing, rearranging and overlapping two or more photographs onto a piece of paper to create a single image. Photomontage techniques are the core tools used in our modern day image-editing softwares such as Photoshop.
Join us on Saturday, 24th March from 4-6pm at Nafasi Art Space to create your own photomontage art project. No cameras are required to participate but please come with an old magazine.
All ages are welcome!
Photomontage ni njia mbadala ya kutengeneza picha kwa kukata, kugundika, kuzipanga upya na kuambatanisha picha mbili au zaidi kwenye kipande cha karatasi ili kuunda picha moja mpya. Mbinu za Photomontage ni zana za msingi zinazotumika katika programu za kisasa kama vile Photoshop.
Ungana nasi Jumamosi tarehe 24 Machi, saa 10 hadi saa 12 jioni kutengeneza kazi yako mwenyewe ya photomontage.
Hauhitaji kamera kushiriki lakini tafadhali uje na gazeti la zamani ikiwezekana.
Watoto pia wanakaribishwa kushiriki!