Jocktan Makeke – Award winning Fashion Designer
At 4pm, on the last Saturday of the month of February (24th), we are rolling out the red carpet here at Nafasi Art Space and putting on our best African-inspired traditional clothing for “I AM MAKEKE” – a fashion event celebrating the career of Jocktan Makeke of Makeke International, who is an award-winning fashion designer and costuming artist based in Dar es Salaam, Tanzania, who uses a variety of avant garde mediums to create intricate and sometimes otherworldly Afro-futuristic designs.
There will be an exhibition, a documentary, a fashion show, a traditional dance, a variety of food and drinks, (and since it’s his birthday, there may even be cake!). So show up or miss out on this grand event!
4-6pm Makeke will run a ChapChap Fashion Design Public Art Workshop
This will be open to both amateurs who want to learn and professional designers who want to extend their knowledge.
Sign up at info@nafasiartspace.org
ALL ARE WELCOME
…….
Saa 10 jioni, Jumamosi ya mwisho ya Februari (tarehe 24), kutakuwa na zuria jekundu hapa Nafasi Art Space na tutavaa nguo zetu nzuri za kiutamaduni wa Afrika kwa ajili ya tukio la mitindo “I AM MAKEKE” ambalo litasherekea kazi anayoifanya msanii wa mitindo ambaye ameshinda tuzo mbali mbali ndani na nje ya nchi Jocktan Makeke Makeke International. Ofisi za Makeke ziko hapa Dar es Salaam, Tanzania na msanii huyu anatumia vitu mbali mbali visivyo vya kawaida kutengeneza mitindo yake ya kipekee na ya ki”Afro-futuristic”.
Kutakua na maonesho ya sanaa, video ya habari kwa kina, shoo ya mitindo, dansi ya kiutamaduni, chakula na vinywaji, (na kwasababu ni siku yake ya kuzaliwa pia, basi kutakua na keki!). Kwahiyo jitokeze na usikose tukio hili bab-kubwa.
Tafadhali kumbuka kua kuanzia saa 10-12 jioni Makeke ataendesha zoezi la mafunzo ya mitindo la “ChapChap Fashion Design” -Warsha ya sanaa ya wazi/uma kwa wabunifu wanaotaka kujifunza na wataalamu wanaotaka kujiendeleza. Jiandikishe kwa kutuma barua pepe info@nafasiartspace.org