Use lines, shapes and figures to create beautiful, balanced pieces of art under the guidance of Congolese artist Jean Katambayi. Don’t miss this oppurtunity to explore the link between images and numbers. Materials and lunch will be provided. Entry is free.
Sign up now by sending an email to jesse@nafasiartspace.org.
—
Tumia mistari, miduara na takwimu kujenga sanaa zenye mvuto chini ya mwongozo wa msanii wa Kongo Jean Katambayi. Usikose fursa hii kuchambua miungano ya michoro na hisabati.
Vifaa pamoja na chakula cha mchana vitatolewa. Na hakuna kiingilio.
Jiandikishe sasa kwa kutuma barua pepe kwa jesse@nafasiartspace.org.