“A mother is a mother even if she’s mad, and home is home even if it’s just the underbrush.” You are warmly welcome to explore the exhibition of our April Artist-in-Resident, Walter Simbo, titled “Mama & Home”, opening 11th May at 6:30 pm. The exhibition will be up until 31st May in the Nafasi Art Space Gallery.
FREE ENTRY
“Mama ni mama atakama ni kichaa. Nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani “. Tunawakaribisha kwenye maonyesho yetu yaliyoandaliwa na Msanii wetu Walter Simbo. Maonyesho hayo yatakuwa na maudhui ya “Mama na Nyumbani.” Maonesho haya yatafanyika kuanzia tarehe 11 Mei kutoka saa 12 na nusu jioni na yatakuwepo hadi tarehe 31 Mei hapa Nafasi Art Space.
HAMNA KIINGILIO