Join us this Friday for the premiere of Nafasi Academy – Groundwork (The Build)
A short film on the process behind the design/construction/development of the Nafasi Academy for Contemporary Art and Expression
Convo and Q+A with the team from 7pm East Africa Time on IGTV
Ungana nasi Ijumaa hii kwenye kuonyesha kwa mara ya kwanza Nafasi Academy – Groundwork (MJENGO)
Filamu fupi inayoonyesha mchakato mzima wa muundo / ujenzi / Ukuaji wa Chuo cha Nafasi cha Sanaa ya kisasa na hisia
Mahojiano, maswali na majibu na washiriki yataanza Saa 1 jioni kwa saa za Afrika Mashariki kupitia IGTV