This coming Saturday, join us for the opening of Passages, an exhibition by the Nafasi Academy exploring personal and communal memory and chosen (and unchosen) influences on our conception time. The works featured will use the contribution of great Tanzanian artists past and present as a route towards considering our links and connections passages of history.
Jumamosi hii ungana nasi kwa ufunguzi wa maonyesho ya sanaa “Passages”, onyesho la sanaa kuhusu kumbukumbu na mienendo ya wakati ilioandaliwa na Nafasi Academy. Kazi za onyesho hii zimetengenezwa kama adhimisho ya mchango wa wasanii mahiri katika historia ya Tanzania kwa nia ya kuzingatia sehemu yetu katika fungu za historia.