Nafasi is excited to announce our new partnership with the TANZANIA FILM LAB, who will be offering training to aspiring filmmakers in Tanzania and offering monthly film screenings.
The TFL screenings will bring the best of local Tanzanian cinema to the big screen, and each screening will bring guest speakers from both sides of the camera to interact with the audience.
The first screening will be the acclaimed film KIUMENI, on 10th July at 7.30 pm. All are Welcome.
—
Nafasi inafuraha kutangaza ushirikiano wetu mpya na TANZANIA FILM LAB, ambao watatoa mafunzo ya filamu na kuonyesha filamu moja kila mwezi apa Nafasi Art Space.
TFl italeta filamu bora zaidi za sinema ya Tanzania kwenye skrini kubwa, pamoja na fursa ya kuongea na badhi walio husika katika utengenzaji.
Filamu ya TFL ya kwanza ni KUIMENI, tarehe 10 Julai saa 1.30 jioni. Karibuni.