๐ฃ Join us on ๐ญ๐๐ – ๐ฑ๐๐ต ๐๐ฒ๐ฏ๐ฟ๐๐ฎ๐ฟ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ for the Second Edition of โ๐๐ช๐ ๐ช๐ฉ๐๐ฃ๐ ๐ฟ๐๐งโ – a week full of artistic activities ranging from art, film, music and dance across the city of Dar es Salaam.
๐๏ธ Save the dates! this is not to be missed.
We welcome all artists, curators, art organizations, and anyone who is interested in learning and contributing to the arts sector to join us for art talks, showcases, open studios and networking opportunities!ย ย Up to 6 artists will be awarded production grants of up to 1 million TZS each for their projects that will be presented during the arts week!
What are you waiting for? Visit our Instagram Bio for more Information on how you can participate as delegates or artists and see you soon! Deadline for applications is on 20th January 2022.
Kindly visit the Link to Apply: https://linktr.ee/nafasiartspace
“Tukutane Dar; Art Week event is supported by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa) as part of sanaa pamoja project. This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme. Nafasi Art Space receive core support from the Royal Norwegian Embassy in Tanzania and The Embassy of Switzerland in Tanzania”
********************************
Tunayo furaha kubwa kutangaza Tamasha letu kubwa la kwanza kwa 2023, TUKUTANE DAR – Wiki ya Sanaa โจ๐ฃ Ifikapo tarehe 1-5 Februari 2023, tunawakaribisha wasanii,wasimamizi wa sanaa, Taasisi, na Sehemu mbalimbali za Sanaa kufungua maeneo yao ili kuandaa warsha, maonyesho na matukio yao mengine ya sanaa chini ya mwamvuli mmoja. Yaani iwe ni wiki ambayo wadau wa sanaa katika sehemu mbalimbali watashiriki katika matukio ya sanaa ambayo tutayatangaza pamoja.
๐๏ธ Hifadhi tarehe! hii si ya kukosa.
Tunawakaribisha wasanii wote, wasimamizi, mashirika ya sanaa, na yeyote anayependa kujifunza na kuchangia sekta ya sanaa kuungana nasi kwa mazungumzo ya sanaa, maonyesho, studio za wazi na fursa za mitandao! Hadi wasanii 6 watatunukiwa ruzuku ya utayarishaji wa hadi TZS milioni 1 kila mmoja kwa ajili ya miradi yao itakayowasilishwa katika wiki ya sanaa!
Unasubiri nini? Tembelea Ukurasa wetu wa Instagram kwa Taarifa zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kushiriki kama wajumbe au wasanii ! Au
Pitia Link https://linktr.ee/nafasiartspace kujaza fomu ya ushiriki.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 Januari 2022.
Tunatarajia mfululizo wa kusisimua wa matukio ya sanaa kutoka kwa wasanii, wasimamiz wa sanaa , maeneo huru ya sanaa na maeneo ya umma, na kufurahia mijadala yenye manufaa kutoka kwa wabobezi wa sanaa kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi.
“Tukutane Dar: Wiki Ya Sanaa imewezesha kwa ufadhili kutoka kwa Mpango wa Utamaduni wa ACP-EU (Afrika Mashariki)- Ignite Culture. Mfuko huu unatekelezwa na HEVA, kwa ushirikiano na British Council Kenya kupitia Umoja wa Ulaya, na kwa usaidizi zaidi kutoka kwa Umoja wa Mataifa ya ACP (Afrika, Caribbean na Pacific). Ambapo ni sehemu ya Mpango wa Utamaduni wa ACP-EU wa kimataifa. Nafasi Art Space Pia inapokea ufadhili kutoka kwa Ubalozi wa Norway Tanzania na Ubalozi wa Switzerland nchini Tanzania”