OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

TUKUTANE NAFASI: ARTIST HANGOUT

February 15 @ 15:00 - 19:00

Mambo vipi! Nafasi Art Space inapenda kuwa pamoja na wewe katika kukaribisha wasanii wapya wa makazi ya muda mfupi kutoka nchi mbalimbali kwa mwezi huu wa Februari.

Alhamisi hii, 15 Februari! Jumuika nasi katika kipindi cha “Artist Hangout” tukiwakaribisha wasanii, Vanessa Mwingira (@punkandblvck) 🇹🇿, Nicole Remus (@nikki_remus) 🇺🇬, TapaTapa Dance Company (@tapatapa_ke) 🇰🇪, pamoja na msanii wetu wa studio, Devin Martin (@bigdevstudio / @fikiria3d) 🇺🇸

🗓️ 15 Februari 2024
⏰ Saa Tisa Alasiri
📍Nafasi Art Space | Mikocheni B, Dar es Salaam

______________________________________________

Hi There! Nafasi Art Space is delighted to have you over in welcoming the new artists in residence from different parts of the world who will be at Nafasi for February.

This Thursday, the 15th of February! Join us as we host the “Artist Hangout” featuring artists, Vanessa Mwingira (@punkandblvck) 🇹🇿, Nicole Remus (@nikki_remus) 🇺🇬, TapaTapa Dance Company (@tapatapa_ke) 🇰🇪 and our member artist, Devin Martin (@bigdevstudio / @fikiria3d) 🇺🇸

🗓️ 15 February 2024
⏰ 03:00 pm EAT
📍 Nafasi Art Space | Mikocheni B, Dar es salaam

#nafasiartspace #artistinresidence #artists #daresaalaam#kenya #uganda #usa #tanzania #tukutanenafasiartspace

Details

Date:
February 15
Time:
15:00 - 19:00
Event Categories:
,
Event Tags:
, , ,

Venue

Nafasi Art Space
Eyasi Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
View Venue Website

Organizer

NAFASI
Phone
+255 757 820 426
Email
info@nafasiartspace.org