Nafasi Art Space inakualika kuhudhuria tamasha letu kubwa la kila mwaka, Wikiendi Live (@wikiendilive ), litakalofanyika tarehe 27 na 28 Septemba 2024. Usikose fursa hii ya kuona wasanii bora wa muziki wakitumbuiza kwenye jukwaa letu kubwa. Karibu wote!
🗓️ 27 & 28/Septemba/2024
⏰ Saa 6 mchana mpaka usiku
📍Nafasi Art Space
HAKUNA KIINGILIO
*************************************************
Nafasi Art Space invites you to attend our biggest yearly festival, Wikiendi Live (@wikiendilive ), on September 27 and 28, 2024. Don’t miss this opportunity to see top musicians perform on our grand stage. Everyone is welcome!
FREE ENTRY
🗓️ 27 & 28/Septemba/2024
⏰ 12pm to night
📍Nafasi Art Space
#nafasiartspace #wikiendilive #tukutanenafasiartspace#swissdevcoop #swissembassytz #norwegianembassydar#mziki #sanaa