OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

WIKIENDI LIVE 29 & 30 September 2023

September 29, 2023 @ 12:00 - September 30, 2023 @ 23:30

Nafasi Art Space is ready to bring you another September to remember! The 21st edition of Wikiendi Live Festival.!! (@wikiendilive)

✨Marking 15 years since the establishment of Nafasi Art Space, this year’s edition of what is known to be the biggest music festival from Nafasi, comes in style!

🎭 Join us for two days of live music, dance, traditional games, art & craft fair, food & drinks, open studios, and many you can mention.

🗓️ Friday – Saturday | 29 – 30 September 2023

Mark your calendars and see you at the Home of Arts in Dar es Salaam

📍Nafasi Art Space | Mikocheni B, Dar es salaam

_________________________________________________

Nafasi Art Space imejipanga kukuletea Septemba nyingine ya kipekee! Toleo la 21 la Tamasha la muziki la Wikiendi Live.!! (@wikiendilive)

✨Ikiwa ni miaka 15 tangia kuanzishwa kwa kituo cha sanaa cha Nafasi, toleo la mwaka huu la tamasha kubwa zaidi la muziki kutoka Nafasi Art Space linaletwa kwako kwa muundo wa namna yake!

🎭 Ungana nasi kwa siku mbili zilizosheheni burudani ya muziki, dansi, sanaa, michezo ya asili, chakula na vinywaji, maonyesho na mengine mengi.

🗓️ Ijumaa – Jumamosi | Tarehe 29 – 30 Septemba 2023

Weka alama katika kalenda zako kisha tukutane Nafasi Art Space!

📍Mikocheni B, Dar es Salaam

Details

Start:
September 29, 2023 @ 12:00
End:
September 30, 2023 @ 23:30
Event Categories:
, , ,
Event Tags:
, , , , , , , ,

Venue

Nafasi Art Space
Eyasi Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
View Venue Website

Organizer

NAFASI
Phone
+255 757 820 426
Email
info@nafasiartspace.org