FEEL FREE GRANT 2023- Showcase
Nafasi Art Space Eyasi Road, Mikocheni B, Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic ofMambo vipi! Nafasi Art Space inapenda kukukaribisha katika maonyesho ya miradi ya sanaa kutoka kwa wanufaika wa ruzuku za Feel Free mwaka 2023. Fahamu miradi yao, historia za awali pamoja na namna ruzuku ya Feel Free ilivyoweza kuchangia katika utekelezaji … Read More