TUKUTANE NAFASI: ARTIST HANGOUT
Nafasi Art Space Eyasi Road, Mikocheni B, Dar Es SalaamMambo vipi! Nafasi Art Space inapenda kuwa pamoja na wewe katika kukaribisha wasanii wapya wa makazi ya muda mfupi kutoka nchi mbalimbali kwa mwezi huu wa Februari. Alhamisi hii, 15 Februari! Jumuika nasi katika kipindi cha “Artist Hangout” tukiwakaribisha wasanii, … Read More