NAFASI FILM CLUB CALL FOR MEMBERS

Nafasi Film Club returns on 2nd March 2023 and we are excited to see you! Filmmakers, storytellers, editors, sound operators, actors, set decorators, ALL departments of filmmaking, this is for you!

Registration for new members is NOW OPEN until 22 February 2023.

Check out the Registration Link on Instagram our bio

Link:  English 

Klabu ya Filamu ya Nafasi inarejea tarehe 2 Machi 2023 na tunayo furaha kubwa kuwa pamoja na wewe kwa mwaka huu, muundafilamu, msimulizi wa hadithi, mhariri, mwendeshaji wa sauti, muigizaji, mpambaji wa eneo la uigizaji na wahusika wote katika filamu! Hii ni kwa ajili yenu!!

Mlango wa kujiunga upo wazi mpaka kufikia tarehe 22 Februari 2023.

Fomu ya kujiunga inapatikana katika Instagram Bio yetu. Swahili

Karibu katika Klabu ya filamu Nafasi Art Space!