OPEN CALL FOR 2023 CURATORIAL ACADEMY

Nafasi Art Space is non-profit contemporary art centre in Tanzania that provides a platform for artists through development, production, and entrepreneurship in the visual and performing arts by providing training, exchange, and exhibition of experimental arts locally, regionally, and internationally.

The Nafasi Curatorial Academy is a training programme for aspiring and practicing: curators, events managers, cultural project managers, gallerists, and art writers.

A selected group of student members will be invited to participate in training on the theory, management, and practice of curation and arts management, featuring:

 • intensive workshops
 • masterclasses
 • an internship / work placement
 • logistical and production support for an individual or group final production developed during the course of the programme

You will be required to be available for a period of not less than 5 months for short courses as per the following schedule:

 • February 2023 – 2 week full-time intensive (in person in Dar es Salaam)
 • March – Assignments and additional masterclasses (online)
 • April 2023 – 1 week full-time intensive
 • May – June – Assignments and additional masterclasses (online)
 • July 2023- 2 week full-time intensive
 • August – Assignments and additional masterclasses (online)
 • Sept 2023 – 1 week full-time intensive
 • Oct – Dec 2023 – full-time implementation of a final project and/or arts internship/work placement
  Programme Cost: Scholarships will be provided for all selected participants
  Studio/workspace and lunches will also be provided
  Additional scholarships may be available for travel and accommodation for participants from outside of Dar es Salaam.

APPLY HERE

//

Nafasi Art Space ni shirika lisilo la kiserikari, linaloendesha shughuli za sanaa ambazo ni zenye kulenga faida nchini Tanzania kwa malengo ya kutoa jukwaa kwa wasanii kuzalisha na kuendeleza sanaa za kisasa, na ujasiriamali katika sanaa za maonyesho kwa njia ya kutoa mafunzo, kubadilishana utalaamu wa ubunifu na maonyesho ya sanaa ya majaribio ndani ya nchi, kanda na kimataifa.

Nafasi Curatorial Academy ni programu ya  mafunzo ya kutafsiri na kusimamia sanaa kwa mameneja wa matukio, mameneja wa miradi ya kiutamaduni, wasimamizi wa masuala ya sanaa, waandishi wa sanaa pamoja na watafsiri na wasimamizi wa sanaa

Wanafunzi watakaoteuliwa watakaribishwa kushiriki katika mafunzo ya nadharia, usimamizi pamoja na mazoezi ya utafsiri sanaa, kupitia:

 • Warsha kubwa
 • Mafunzo ya darasani
 • Mafunzo kwa vitendo / kwa kufanya Kazi
 • usaidizi wa vifaa na uzalishaji kwa mtu binafsi au kikundi, na hata uzalishaji wa mwisho uliotengenezwa wakati wa programu hiyo

Utahitajika kujitolea kwa kipindi kisichopungua miezi 5 mafunzo ya muda mfupi

Gharama za programu: Ufadhili utatolewa  kwa wale wote watakaoteuliwa
Pia vyumba vya  kufanyia Kazi na chakula cha mchana kitatolewa

 

TUMA MAOMBI HAPA