Seema Kohli and Brinda Miller are artists from India with over 20 years of experience in the global art world and a wide range of skills in painting, sculpting, printmaking and performance. Join us for a chance to hear about their work and stay for a special exhibition together with students from their workshop.
—
Seema Kohli na Brinda Miller ni wasanii kutoka India wenye uzoefu wa zaidi miaka 20 katika sanaa na ujuzi mkubwa wa kuchora,kuunda, kuchapisha na kuigiza. Jumiuka nasi kusikia kuhusu kazi zao na baki kwajili ya maonyesho maalum pamoja na wanafunzi wa warsha yao.