Don’t miss your chance to learn from our new artist in residence Mac Sawaya during this artist hangout where he will be giving a presentation about looking at cave art through a contemporary lens.
Thursday 23rd August from 4.30-5.30 pm.
ENTRY IS FREE
__
Usikose fursa yako ya kujifunza kutoka kwa msanii wetu makao Mac Sawaya katika hangout yake, ambapo ataongea kushusu namna zakutazama sanaa ya asili kwa muono wa sasa.
Alhamisi tarehe 23 August. Saa 10.30-11.30 jioni.
HAKUNA KIINGILIO
OUR EVENTS
- This event has passed.