Take those old jeans, a tshirt, shorts or even shoes and turn them into art masterpieces under the guidance of up and coming artist Lazaro Samuel.
Zipe nguo zilzo pauka na jeans zilizo pitwa na wakati maisha mapya! Ungana na msanii Lazaro Samuel na jifunze kutengeneza nguo kuwa sanaa.