Turn metal into beautiful writing this month in our Chap Chap wire calligraphy workshop w/ Fred Halla. Make a gift, a souvenir, or just simply experiment on what promises to be a memorable evening. Time: 3-6pm
Location: Nafasi Art Space, Eyasi Road, ITV, MIkocheni B
Entry: FREE
Geuza chuma kuwa maandishi mazuri mwezi huu katika warsha yetu ya Chap Chap Wire Calligraphy w / Fred Halla. Tengeneza zawadi, kumbukumbu, au chochote kile upendacho ndani ya jioni inayotariji mengi.
Muda: 9-12 jioni
Mahali: Nafasi Art Space, Mtaa wa Eyasi, ITV, MIkocheni B
Kiingilio: BURE