This month at (d)ART Club we will be having an open discussion featuring local teachers and artists about creativity. Can you learn to be creative? Or are you just born that way?
Come and share your thoughts on Tuesday 7th August from 6 to 8pm at Nafasi Art Space.
—
Mwezi huu katika (d)ART Club tutakuwa na majadiliano ya wazi yenye walimu na wasanii kuhusu ubunifu. Je! Unaweza kujifunza kuwa mbunifu? au umezaliwa nao tu?
Karibu ushiriki mawazo Jumanne tarehe 7 Agosti kuanzia saa 12 mpaka saa 2 jioni Nafasi Art Space.