We welcome you to the second of our exhibitions opening during the IS THIS THE END? Fundraiser. Horizon, a new exhibition on coastal heritage by renowned Zanzibari artist Kola will be opening in the permanent gallery at 4pm.
__
Karibu kwenye onesho letu la pili katika fundraiser ya IS THIS THE END? Horizon, onyesho mpya juu ya urithi wa pwani kutoka kwa msanii maarufu Zanzibar, Kola utafunguliwa kwenye gallery saa 4 kamili jioni