How do our past decisions effect our present realities? how have political systems influenced our current societal context? what is the bridge between who you were and who you are now?
Life is a journey; we invite artists to explore the various ways in which we evolve, learn and become. Be it from the effects of colonization or your own personal metamorphosis. we want to know: how did you get here?
——-
Njoni tujiangalie. Tuchunguze naamna maamuzi ya awali yamechangia hali ya sasa? Tu jadili ushawishi wa mifumo ya kisiasa katika jamii za sasa? Tujikite, kwenye sanaa zenye upeo wa fikra, hoja, na ufanisi, katika daraja zote zilziotifikisha hapa kibinasfasi, kijamii na kitaifa.
Je, kuna sumu katika ya misingi ya maisha ya kila siku, na pia nyendo zipi zinalinda tamaduni, utu na heshima katika kasi ya kufukuza maendeleo. Maisha ni safari. Na tunawahimiza wasanii wa aina zote kuchuguza yale yote -meema na mabaya– yaliyotuingia hadi sasa.
Hivvo tuonyeshe, kwa kutumia vipaji vya kuchora, kuunda, kuchora na kutunga na utuambie –HOW DID WE GET HERE? TUMEFIKAJE