OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

MKEKA CANVAS MKEKA

April 24 @ 08:00 - 17:00

HADITHI HADITHI 🔥
A powerful collaboration between Skecha @skecha & @illustrationsbyNikki
Step into a visual journey through time.

From German East Africa → Tanganyika → Tanzania 🇹🇿
Through digital and traditional art, Hadithi Hadithi reimagines the birth of a nation—told not by elders, but through the bold and fresh perspectives of youth 🎨⚡

This exhibition explores:
✨ Unity in struggle
✨ Freedom & identity
✨ Womanhood & spirituality
✨ The shared stories that shaped Tanzanian culture
đź“… 30th April 2026
⏰ 6:00 PM
📍 Don’t miss it!

Come witness history retold. Come feel the story. Come connect.
Hadithi Hadithi… Hadithi njoo! 🗣️🔥
——————————————————————————————————

🔥 HADITHI HADITHI 🔥
Ushirikiano kaKaribu @skecha___ & @illustrationsbynikki
Karibu ushuhudie safari ya kipekee ya historia…
Kutoka German East Africa → Tanganyika → Tanzania 🇹🇿
Kupitia sanaa ya kidijitali na ya jadi, Hadithi Hadithi inasimulia upya kuzaliwa kwa taifa—lakini safari hii kupitia macho ya vijana 🎨⚡
Maonyesho haya yanagusa:
✨ Umoja katika mapambano
✨ Uhuru na utambulisho
✨ Uanawake na mabadiliko ya kiroho
✨ Hadithi zilizounda utamaduni wa Mtanzania
đź“… 30 April 2026
⏰ Saa 12 jioni (6:00 PM)
📍 Usikose!
Njoo ujionee historia ikisimuliwa upya.
Njoo uhisi hadithi. Njoo uungane nasi.

Hadithi Hadithi… Hadithi njoo! 🗣️🔥

Details

  • Date: April 24
  • Time:
    08:00 - 17:00
  • Event Category: