Prepare for a journey bridging the gap between traditional and digital art. From 4-6pm on April 20th, DIMA (doesitmeanart), will be at Nafasi Art Space to host different corporate organizations, entrepreneurs, and other thought leaders in order to explore the opportunities of digital art in different industries and businesses.
Get ready to explore next level digital content creation on animations, illustrations, 2D & 3D designs and to expand your view of what art can be in the digital world.
Don’t miss this unique networking opportunity
Entry is free
Food and Beverages will be available.
————————————————————–
Kaa tayari kwa onyesho la kipekee la sanaa za kidijitali. Tarehe 20 Aprili saa 10 mpaka 12 jioni , DIMA (does it mean art -hii ni sanaa?), watukuwa hapa Nafasi Art Space pamoja na wakilishi wa mashirika, wajasiliamali na viongozi wa tasnia mbali mbali nchini kuonyesha namna sanaa za namna hii zinaweza kuchangia katika biashara.
Njoo ujue zaidi kuhusu sanaa za mtandoani kama mitindo ya 2D na 3D, michoro, animation na ungana nasi tukichambua maana na sehemu ya sanaa katika ulimwengu wa digitali.
Usikose.
Hakuna kiingilio na vinwaji na vitafunio vitapatikana.