THE ART OF INSTALLATION WORKSHOP
Are you interested in learning about installation art? Registrations for the installation art workshop hosted by our upcoming AIR Serge Diakota all the way from Congo are now open. Applications should be sent to the email info@nafasiartspace.org and the deadline is on 14th May. You are all welcomed!!
.
.
.
Je ungependa kujifnza kuhusu sanaa za kuunda?. Kutakuwepo na warsha inayoeleza kuhusu sanaa hiyo hapa Nafasi Art Space. Warsha hiyo itaandaliwa na msanii wetu aitwaye Serge Diakota atakayetoka Kongo. Jisajili sasa kwa kutuma maombi yako kwenda barua pepe info@nafasiartspace.org . Mwisho wa usajili huo ni tarehe 14 Mei. Karibuni!!