Are you a musician/singer? Do you just love to sing? Do you want to learn something new or improve? Sign up for the Vocal Workshop with the award winning Cleveland Watkiss (UK)! The workshop is free but REGISTRATION IS A MUST.
Sign up by emailing us at info@nafasiartspace.org
___
Je, wewe ni mwanamziki/mwiimbaji? Unapenda tu sana kuimba? Unataka kujifunza kitu kipya au kujiendeleza? Jiandikishe kwenye mafunzo ya kuimba na Cleaveland Watkiss, mwanamziki kutoka Uingereza aliyeshinda tuzo nyingi za uimbaji! Mafunzo ni bure ILA KUJIANDIKISHA NI LAZIMA.
Jiandikishe kwa kututumia barua pepe kwenda info@nafasiartspace.org