NAFASI RESIDENCY: WORKSHOP ALERT
Nafasi Art Space Eyasi Road, Mikocheni B, Dar Es SalaamJiunge nasi kwenye warsha yetu ambapo tutatumia mbinu ya stippling kuunda michoro ya kipekee kwa ajili ya kuchapisha kwenye kitambaa/khanga. Buni michoro yako mwenyewe iliyotoa na Kanga na uipe jina lako! #SanaaYaNguo #UbunifuWaKiafrika #WarshaYaUbunifu ************************************************** Join us in our workshop … Read More