Sanaa Pamoja Launching Event
National Museum House of Culture, Dar Es SalaamTunayo furaha kuwaalika wasanii na wadau wa sanaa katika uzinduzi wa mradi wa SANAA PAMOJA! Siku ya Ijumaa, Mei 27, Nafasi Art Space kwa kushirikiana na "Museum Art Explosion” tamasha la kila mwezi la Makumbusho ya Taifa, Nafasi itakuwa mwenyeji … Read More