📣 𝚆𝙸𝚃𝙾 𝙺𝚆𝙰 𝚆𝙰𝚂𝙰𝙽𝙸𝙸!!
Je, wewe ni msanii na ungependa kushiriki katika wiki ya sanaa ya TUKUTANE DAR 2023? Hii ni fursa yako!! 😉
Takribani wasanii 6 watapatiwa ruzuku ya takribani shilingi Milioni 1 kwa kila mmoja kwa ajili ya kuandaa kazi zao zitakazooneshwa katika wiki hii! Ikiwa ni tukio kubwa la kwanza kwa mwaka 2023 kutoka Nafasi Art Space.
Tunakaribisha maombi kutoka kwa wasanii wa tasnia mbalimbali yakiambatanisha pendekezo la kazi yako + bajeti, dhima , pamoja na wasifu wako wa kisanii kupitia baruapepe
𝗴𝗮𝗹𝗹𝗲𝗿𝘆@𝗻𝗮𝗳𝗮𝘀𝗶𝗮𝗿𝘁𝘀𝗽𝗮𝗰𝗲.𝗼𝗿𝗴 kabla ya tarehe 𝟭𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶 𝟮𝟬𝟮𝟯.
Tukutane Dar: Wiki Ya Sanaa imewezesha kwa ufadhili kutoka kwa Mpango wa Utamaduni wa ACP-EU (Afrika Mashariki)- Ignite Culture. Mfuko huu unatekelezwa na HEVA, kwa ushirikiano na British Council Kenya kupitia Umoja wa Ulaya, na kwa usaidizi zaidi kutoka kwa Umoja wa Mataifa ya ACP (Afrika, Caribbean na Pacific). Ambapo ni sehemu ya Mpango wa Utamaduni wa ACP-EU wa kimataifa. Nafasi Art Space Pia inapokea ufadhili kutoka kwa Ubalozi wa Norway Tanzania na Ubalozi wa Switzerland nchini Tanzania
–
📣 𝙾𝙿𝙴𝙽 𝙲𝙰𝙻𝙻 𝙵𝙾𝚁 𝙰𝚁𝚃𝙸𝚂𝚃𝚂!!
Are you an artist and would like to showcase your art during the Tukutane Dar Arts week? This is for you!!
Up to 6 artists will be awarded production grants of up to 1 million TZS each for their projects and will present them during the symposium.
We are welcoming applications from artists of all disciplines to submit their concept proposal + budget, artist statement, and bio to 𝗴𝗮𝗹𝗹𝗲𝗿𝘆@𝗻𝗮𝗳𝗮𝘀𝗶𝗮𝗿𝘁𝘀𝗽𝗮𝗰𝗲.𝗼𝗿𝗴 before 𝟭𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝘆 𝟮𝟬𝟮𝟯.
Find the application form on our Instagram Bio.
Tukutane Dar; Art Week event is supported by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa) as part of sanaa pamoja project. This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme. Nafasi Art Space receive core support from the Royal Norwegian Embassy in Tanzania and The Embassy of Switzerland in Tanzania