๐พ๐ฟ๐ด๐ฝ ๐ฒ๐ฐ๐ป๐ป ๐ต๐พ๐ ๐ณ๐ด๐ป๐ด๐ถ๐ฐ๐๐ด๐!!
Are you Art & Cultural manger, curator, artist, art lover, gallery and would love to play part in this yearโs edition of Tukutane Dar Arts Week? We have something for you!!
For only 40,000/= TZS, you will receive a pass to all events, including networking sessions, art showcases, and panel discussions in all 5 days of Tukutane Dar. On top of that, you will also have the opportunity to present your own work during roundtable sessions.
Book your seat now by filling up the google form on our Instagram Bio by ๐ฎ๐ฌ ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ฟ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ
For more information kindly reach out via
Tel:+255757820426 (Tel/Whatsapp/Call)
E-mail: info@nafasiartspace.org
Then ๏ผด๏ผต๏ผซ๏ผต๏ผด๏ผก๏ผฎ๏ผฅ ๏ผค๏ผก๏ผฒ ๐ญ-๐ฑ ๐๐ฒ๐ฏ๐ฟ๐๐ฎ๐ฟ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ.
–
๐ฃ ๐๐ธ๐๐พ! ๐บ๐๐๐ฐ ๐ผ๐น๐๐ผ๐ฑ๐ด ๐๐ฐ ๐๐ฐ๐ฝ๐ฐ๐ฐ!!
Je, wewe ni mdau wa sanaa na ungependa kushiriki katika wiki ya sanaa ya Tukutane Dar 2023? Hii ni yako!
Kwa shilingi 40,000/= TZS tu, utapokea tiketi ya kupita bure katika matukio yote ikiwemo matukio ัะฐ mtandao wa kisanaa, maonesho ya sanaa pamoja na jopo la kujadili sanaa
Pia utapata fursa ya kuwasilisha kazi zako binafsi katika meza za mazungumzo duara.
Unasubiri nini? Jihakikishie nafasi yako sasa kwa kujaza fomu iliyo katika Bio yetu ya Instagram kabla ya tarehe ๐ฎ๐ฌ ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ.
Kisha ๏ผด๏ผต๏ผซ๏ผต๏ผด๏ผก๏ผฎ๏ผฅ ๏ผค๏ผก๏ผฒ ๐ญ-๐ฑ ๐๐ฒ๐ฏ๐ฟ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ.
Kwa maelezo zaidi wasilina nasi kupitia
+255757820426 (Text/Whatsapp/Simu)
info@nafasiartspace.org