Call for Submissions for SINDIKIZA 1st edition

Introducing: SINDIKIZA A zine on contemporary art in Tanzania

Nafasi’s first art publication is having its first call for submissions!

 

  • TOPIC: Space – What it means to you to have space to express and to create. What that space looks like, feels like.
  • SUBMISSIONS ACCEPTED: poetry, photography, visual artworks, art critique, exhibition reviews, and essays
  • DEADLINE: 23 March 2020
  • EMAIL SUBMISSIONS TO: info@nafasiartspace.org

___

Nafasi inapenda kutangaza kwa wasanii na waandishi kupokea kazi za sanaa kwa ajili ya toleo la kwanza la jarida la sanaa linaloitwa SINDIKIZA

 

  • Kazi za sanaa zitakazopokelewa: Ushairi, upigaji picha, sanaa za uoni, Tafiti za sanaa, Uchambuzi wa maonyesho ya sanaa na Insha
  • Mada: Nafasi- Je, inamaanisha nini kwako kuwa na nafasi ya kujielezea na kuandaa kazi zako.
  • Mwisho wa kupokea kazi za sanaa: 23.03.2020
  • Tuma kazi yako kupitia barua pepe: info@nafasiartspace.org