ART CLASSES FOR CHILDREN
Join Nafasi ya Watoto! Starting from the 3rd of March this year Nafasi Art Space will be offering Art classes for children aged 6-16 years every Saturday from 10am – 12pm. Classes will be taught by a professional artist and art educator Frad Halla, some snacks and drinks will also be provided.
Prices are TSH 20,000/- per class (walk-in) or TSH 60,000/- per month (pay-in-advance). Register now by calling +225 767 373 803 or emailing info@nafasiartspace.org.
Jiunge Nafasi ya Watoto! Kuanzia tarehe 3 Machi mwaka huu, Nafasi Art Space itatoa darasa la Sanaa kwa Watoto kuanzia miaka 6 hadi 16 kila Jumamosi, saa 4 asubuhi hadi saa 6 mchana. Darasa hilo litafundishwa na msanii wa kitaaluma na mwalimu wa sanaa Frad Halla, Vifunwa na Vinywaji vitakuepo!
Gharama ni shilingi 20,000/- kwa darasa (kiingilio) au shilingi 60,000/- kwa mwezi (maliipo ya kabla).
Jiandikishe sasa kwa kupiga simu +225 767 373 803 au kwa kutuma barua pepe info@nafasiartspace.org.
See translation