OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

Artist Hangout w/ Steve Mchomvu

February 13, 2019 @ 16:30 - 17:30

| Free

Join us for an evening with our current Artist in Residence Steve Mchomvu, who has built up a strong online following through his ultra-realist pencil and charcoal drawings. Catch up with Steve about art, life and a preview of what he planned for his month here at Nafasi. Refreshments will be served, Entry is free.
—-
Ungana nasi tukikaribisha msanii Steve Mchomvu, akiwa anaanza kambi ya mwezi mmoja hapa Nafasi. Steve, akijulikana kama Mchomvu Artisteve, amejenga ufuasi mkubwa ndani ya mda mfupi kwa michoro halisi ya penseli na mkaa. Karibu upatane na Steve juu ya sanaa, maisha na kuskia yote aliopanga kwa mwezi wake hapa Nafasi. Vitafunio na vinyaji vitapatikana na hakuna kiingilio,

Details

Date:
February 13, 2019
Time:
16:30 - 17:30
Cost:
Free
Event Category:

Venue