End February in style by hanging out with Safina Kimbokota and the artists she’s gathered for a special women’s day exhibition at the China Cultural Center on 8th March. Join our Women’s day Hangout on Thursday Feb 28 at 4.30pm. Entry is free.
——
Maliza mwezi vizuri kwa kuungana na Safina Kimbokota pamoja na kundi la wasanii wakike wataohusika na onyesho ya siku maalum ya wanawake pale China Cultural Center tarehe 8 Machi. Njoo uskie kuhusu onyesho hilo na mengine mengi yaliopangwa na kundi hili mbeleni. Karibu Women’s Day Hangout Alhamisi Februari 28 saa 10.30 jioni. Hakuna kiingilio.
OUR EVENTS
- This event has passed.