Join us for a Hangout with artist Jean Katambayi whose artwork is a unique combination of art, math and philosophy that he calls the language of dreams. Come learn all about everything from the link between numbers and beauty to how to make a paper hat using a mathematical formula. It promises to be a fascinating evening. ENTRY IS FREE
—-
Jiunge nasi kwa ajili ya Hangout na msanii Jean Katambayi anayetumia mchanganyiko pekee wa sanaa, hisabati na falsafa ndani ya mchoro ambayo anaiita lugha ya ndoto. Jifunze yote juu ya kila kitu kutoka uhusiano kati ya nambari na uzuri mpaka jinsi ya kuunda kofia ya karatasi kwa kutumia formula ya hisabati. Inatarajia kuwa jioni inayovutia. HAKUNA KIINGILIO.
OUR EVENTS
- This event has passed.