Documentary Film Workshop
Have you ever thought about making a documentary film? Maybe you have a unique life or an experience that might educate others? Well this is your chance to learn how put all of this into your own documentary film. Join the FREE documentary film workshop here at Nafasi Art Space from 2 April to 13 April. Send an email to info@nafasiartspace.org to join. All you need is just a personal video camera or smart phone that can take videos!
This workshop will be facilitated by Bent Marble.
Je umewahi kuwaza kutengeneza filamu ya maudhui halisi? Labda unamaisha ya kipekee au ushuhuda wenye mafunzo? Basi hii ndio fursa yako yakujifunza namna ya kuweka yote hayo kwenye filamu halisi. Juinge kwenye warsha ya BURE ya filamu za maudhui halisi hapa Nafasi Art Space kuanzia tarehe 2 April mpaka 13 April. Tuma barua pepe info@nafasiartspace.org kwa maelezo zaidi. Unachohitaji kujiunga ni kamera ya video ya kwako mwenyewe au simu inayoweza kuchukua video, tu!
Warsha huu utafundishwa na Bent Marble.