Hangout Alert: Today we have a special hangout which will take place here at Nafasi Art Space. Come and meet Professor of fine Art and culture entrepreneur Chuu Krydz who will be sharing his experience and thoughts. Date 11/07/2018 at 4:30 – 5:30 FREE ENTRANCE
Hangout Alert: Karibu ukutane na Professor wa sanaa ya uchoraji Chuu Kydz akielezea uzoefu wake katika sekta ya sanaa na mawazo yake kiujumla.Hangout itafanyika Nafasi Art space Leo tarehe 11/07/2018 kwanzia saa 10:30 jioni mpka saa11:30 jioni. HAKUNA KIINGILIO