OUR EVENTS

Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

KIJIWENI CINEMA : TILAI

April 10, 2018 @ 19:30 - 22:00

| Free
Nafasi Art Space Event

Kijiweni Cinema Returns 10th April with a West African masterpiece:

Tilaï (the law) is about a man who returns to his village to discover that his father has taken his promised bride for himself. It is the third film one of the masters of African Cinema Idrissa Ouédraogo (Burkina Faso). Upon realease in 1990 it won numerous awards at film festivals including the coveted Grand Prix at the Cannes Film Festival.
All are welcome!

Screening will begin at 7. 30 pm here at Nafasi Art Space. Entry is free.

…..

Kijiweni Cinema inarudi 10th April na safari hii inawaletea filamu adhim zaidi kutoka Africa Magaribi:
.
Tilaï (the law) inahusu kijana mmoja aliyerudi kijijini mwake kukuta Baba yuko na binti aliye tarajia kumuoa. Ni filamu ya tatu toka mtalaamu wa cinema Idrissa Ouedraogo (Burkina Faso) na ilvyotoka 1990 ilichukuwa tuzo nyingi katika tamasha za filamu duniani ikewemo tuzo la Grand Prix kwenye Cannes Film Festival.
Karibuni mwote!
.
Filamu itaanza saa 7.30 jioni Nafasi Art Space. Hakuna Kiingilio.

Details

Date:
April 10, 2018
Time:
19:30 - 22:00
Cost:
Free
Event Category:

Venue

Nafasi Art Space
Eyasi Road, Mikocheni B
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
View Venue Website

Organizer

KIJIWENI CINEMA
View Organizer Website