“Morons vs Morals” scriptures from the streets.
Exhibition Opening today at 10th July 2019
6:30pm, Free Entry.
Nafasi Gallary
Closing on 9th August 2019
Tell a friend to tell friends,come all.
Hii sio ya kukosa leo jioni saa 12:30, karibuni sana kujionea na kujifunza kazi nzuri kutoka kwa msanii LocalFanatics.
maonyesho yanafunguliwa leo, tarehe 10 julai na kufungwa tarehe 9 mwezi wa nane, Mahali nihapa hapa Nafasi & hakuna kiingilio.