Poetry as Preservation / /Ushairi kama uhifadhi
On July 3 Nafasi Art Space will be partnering with the SAWTI project for a workshop that examines the power of poetry to keep memory, culture and history alive.
Send an email to projectsawti@gmail.com to take part
——
Julai 3 Nafasi Art Space itashirikiana na mradi wa SAWTI kwa warsha ambayo inachunguza uwezo wa mashairi kutunza kumbukumbu, tamaduni na historia hai. Hakuna Kiongilio
Tuma baura pepe kwenda projectsawti@gmail.com kushiriki