Jiunge nasi kwenye warsha yetu ambapo tutatumia mbinu ya stippling kuunda michoro ya kipekee kwa ajili ya kuchapisha kwenye kitambaa/khanga. Buni michoro yako mwenyewe iliyotoa na Kanga na uipe jina lako!
#SanaaYaNguo #UbunifuWaKiafrika #WarshaYaUbunifu
**************************************************
Join us in our workshop where we use stippling to create unique motifs for screen printing on fabric. Design your own patterns inspired by Kanga and name your creation!
@tony_digital1982