Join us for an exhibition exploring time, philosophy and community using mathematics from the unique mind of Congolese artist Jean Katambayi. ENTRY IS FREE.
—
Ungana nasi kwa ajili ya ufunguzi wa maonyesho ya sanaa za aina yake. Jean Katambayi, msanii wa DRC, antarajia kutumia hisabati kutazama wakati, falsafa na umma ndani ya michoro yake. Usikose joini hii ya sanaa tofauti zaidi. HAKUNA KIINGILIO.
OUR EVENTS
- This event has passed.