Join us on 10 & 11 December for the first ever Sauti Mpya Festival, featuring exhibitions, food & drinks, activities, film screenings, and live music performances by Richie Lumambo (@richielumambo ), JFK Band (@kitimejo ), Zawose Sisters (@zawosequeens ) , Sanaa Moja Band, Safi Theatre + more
The Sauti Mpya Festival takes place the same weekend as the 60th Anniversary of Tanzanian Independence which falls during International Human Rights Week and is an opportunity to promote equality, human dignity, and inclusion.
Ungana nasi tarehe 10 & 11 Disemba kwa Tamasha la kwanza kabisa la Sauti Mpya, linalojumuisha maonyesho ya sanaa za uoni , maonyesho ya filamu, na muziki mubashara kutoka kwa Richie Lumambo, JFK Band, Zawose Sisters, Sanaa Moja Band, Safi Theatre + zaidi.
Tamasha la Sauti Mpya litafanyika sambamba na wiki ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania ambapo hufanyika katika Wiki ya Kimataifa ya Haki za Kibinadamu ambayo ni fursa ya kukuza usawa, utu na ushirikishwaji.
info@nafasiartspace.org
+255 (0) 757 820 426