SILENCE. an art exhibition.
Where does your mind take you in moments of solitude? What do you consider before speaking out or keeping quiet? How does silence relate to us in the context of our communities, our beliefs and our emotions? We welcome you to explore the theme of Silence through the spectrum of various local visual artists using a variety of mediums, thought and expression. The silence exhibition will open on 2nd June at 6:30 PM until at June 30th at Nafasi.
Je! Akili yako inakupeleka wapi wakati Unapokuwa mpweke? Unafikiria nini kabla ya kuzungumza? Ni jinsi gani ukimya wako unahusiana na mazingira, jumuiya , imani na hisia zako? Tunawakaribisha kwenye maonyesho yatakayo husu maudhui ya ukimya “Silence” yatakayofanyika hapa Nafasi Art Sace ambayo kupitia wigo wa sanaa wasanii mbalimbali wameweza kuonyesha maudhi hayo. Maonyesho yatafunguliwa tarehe 2 Juni kuanzia saa 12 na nusu jioni mpaka tarehe 30 Juni . HAMNA KIINGILIO